Food Matters
Wajasiriamali Jambiani Kibigija Waomba Mafunzo ya Usimamizi wa Fedha Ili Kuimarisha...
Na Mwandishi wetu, TOZ.17/11/2025.
Wajasiriamali wa vikundi vya kuweka na kukopa kutoka Shehia ya Jambiani Kibigija wameiomba serikali na mashirika binafsi kuwapatia mafunzo ya usimamizi...
Travel Guides
Healthy Life
KUSAINIWA MKATABA WA WATU WENYE ULEMAVU AFRIKA, MSINGI WA MAENDELEO JUMUISHI.
Na Siti Ali.
Watu wenye ulemavu kisiwani Unguja wamesema kusainiwa na kupitishwa kwa Mkataba wa Watu Wenye Ulemavu Afrika kutakuwa hatua muhimu katika kuimarisha...
TAASISI ZATAKIWA KUJIPANGA KIDIGITALI
Na Mwandishi wetu Pemba.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar, Hawah Ibrahim Mbaye, amezitaka taasisi za umma na binafsi kuhakikisha...
Sport News
OMO, AKUTANA NA MAWAKALA PEMBA KUJIANDAA NA UCHAGUZI.
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, amekutana na...
Hali Mbaya ya Hewa Yasitisha Safari za Air Tanzania Kati ya Dar es Salaam...
Na Said Khamis.
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imelazimika kusitisha kwa muda safari zake mbili kati ya Dar es Salaam na Mbeya baada ya kushindwa...
HUDUMA ZA AKINA MAMA NA WATOTO KUIMARIKA ZANZIBAR.
Na Siti Ali, 27 Oktoba 2025.
Serikali ithakikisha kila mwananchi anapata huduma bora za afya katika kila ngazi, hatua ambayo imeendelea kudhihirika kupitia miradi mikubwa...
Mvua za Vuli Zafichua Changamoto za Usimamizi wa Taka Tomondo.
Na Hapsa Juma.17/11/2025.
Katika siku hizi za mvua za vuli zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali ya Zanzibar, suala la usimamizi wa taka limekuwa mjadala mkubwa katika...
Vyama vya siasa vyahimizwa kuzingatia ushirikishwaji wa watu wenye ulemavu kwenye mikutano ya kampeni.
Na Fatma Rajab.
Taasisi zinazoshughulikia masuala ya uongozi wa wanawake vinaviomba vyama vya siasa kuzingatia na kuhakikisha ushiriki wa watu wenye ulemavu katika mikutano ya...












































